Sanity is a Full-Time Job

SANITY IS A FULL-TIME JOB

  • Home
  • Shop
  • Books
  • Media
  • Events
  • Contact Us
  • Gallery
  • Video
What are you looking for?
0
0

My Cart

Your Shopping Cart is Empty

$  USD
My Cart
  • Home
  • Products
  • Siku Njema - Kitabu Kinachokusaidia Uwe na Afya Njema ya Akili
New
Siku Njema - Kitabu Kinachokusaidia Uwe na Afya Njema ya Akili

Siku Njema - Kitabu Kinachokusaidia Uwe na Afya Njema ya Akili

$13.00
Notify me

SKU:

Vendor: Sanity is a Full-Time Job

Product type: Books

Tags: adha, Afya nzima, Afya ya Akili, Kujisaidia, Kukata ustadi, Kupunguza mkazo, Matumaini, Msaada wa rika, Rika, Uboreshaji wa Ustadi, Ugonjwa wa Akili, Uponaji, Ustahimilivu, Ustawi, Uwezo wa utambuzi

Collections: Coping Skills Workbooks, Craig's Books

Enter your email and we will inform you when the goods appear in stock

  • Share:

Description


Kitabu hiki kinawasaidia wale wanaohangaikia kupata nafuu na wale ambao tayari wako katika mchakato huo. Kwa sababu kinawapa changamoto na kinaeleza mambo kwa njia halisi sana, ya kawaida, na ya wazi kabisa, hivyo kinawawezesha kufanya marekebisho sahihi kabisa katika maisha yao. Uzuri wa masomo ya kitabu hiki ni kwamba watu wanapenda kuyafanya, wala hawahisi wanafuata ratiba fulani ya kila siku, au wanalazimishwa kufanya jambo fulani, kwa sababu kila ukurasa unamtia moyo mtu kufikiri kwa njia halisi na itakayomnufaisha. Jambo hilo linamfanya mtu ahisi vizuri anaposhughulikia hali yake. Yote yaliyo katika kitabu hiki ni mambo yalitokea katika maisha yangu binafsi na mambo niliyofanya ili kupona au kupata nafuu. Kila ukurasa umetumiwa kwa mafanikio sana katika programu za watu wenye matatizo yanayofanana kusaidiana wenyewe kwa wenyewe.

Product details

Reviews

Delivery Info

Contact us
  • Send us an emailsurvivingtheimpossible@gmail.com
FOLLOW US
  • Youtube
© 2023 - Powered by Shopify
amazon_payments apple_pay diners_club discover litecoin maestro paypal visa